Psalms 63:1

Shauku Kwa Ajili Ya Uwepo Wa Mungu

(Zaburi Ya Daudi. Wakati Alipokuwa Katika Jangwa La Yuda)


1 aEe Mungu, wewe ni Mungu wangu,
nakutafuta kwa moyo wote;
nafsi yangu inakuonea kiu,
mwili wangu unakuonea wewe shauku,
katika nchi kame na iliyochoka
mahali ambapo hapana maji.

Copyright information for SwhKC